Print

Mila mata, pewiyomboka mtandu wa libihi. (Ngoni)
Umeze mate unapovuka juu ya daraja la gogo moja. (
Literal Swahili)
Penye kikwazo piga moyo konde. (
Figurative Swahili)
Swallow saliva before you cross a one-log bridge. (
Literal English)

 

Ngoni (Tanzania, Mozambique) explanation...